Maelezo ya Usuli

Kanuni za Usawa katika Urejeshaji zilichapishwa kwa mara ya kwanza katika Shift (2022) Executive Summary [Muhtasari]: Principles for Corporate Engagement with the Informal Waste Sector – Applying the UN Guiding Principles on Business and Human Rights to the Plastic Packaging Recycling Value Chain [Kanuni za Ushirikiano wa Mashirika na Sekta Isiyo Rasmi ya Taka – Kutumia Mwongozo wa Umoja wa Mataifa kuhusu Biashara na Haki za Binadamu katika Minyororo ya Thamani ya Uchakataji Tena wa Vifurushi vya Plastiki]. Endapo utanakili kanuni hizi, tafadhali taja ripoti hii kama chanzo.