Faragha na utulivu wako wa akili ni muhimu kwetu. Tumejitolea kulinda data yako. Huwa tunakusanya data kutoka kwa watu kwa madhumuni mahususi pekee na madhumuni hayo yakishatekelezwa, hatuhifadhi data hiyo. Kwa maelezo zaidi, pamoja na orodha kamili ya vidakuzi mahususi, angalia sera yetu ya faragha.
Maelezo ya Usuli
Kanuni za Usawa katika Urejeshaji zilichapishwa kwa mara ya kwanza katika Shift (2022) Executive Summary [Muhtasari]: Principles for Corporate Engagement with the Informal Waste Sector – Applying the UN Guiding Principles on Business and Human Rights to the Plastic Packaging Recycling Value Chain [Kanuni za Ushirikiano wa Mashirika na Sekta Isiyo Rasmi ya Taka – Kutumia Mwongozo wa Umoja wa Mataifa kuhusu Biashara na Haki za Binadamu katika Minyororo ya Thamani ya Uchakataji Tena wa Vifurushi vya Plastiki]. Endapo utanakili kanuni hizi, tafadhali taja ripoti hii kama chanzo.