Onyesha Nia

Asante kwa kuonyesha nia ya kujiunga na Mpango wa Usawa katika Urejeshaji. 

Tunabuni utaratibu wa kuomba kujiunga na mpango huu na tungependa kukufahamisha jinsi mchakato huo unavyoendelea.

Tafadhali jaza fomu iliyo hapo chini na mwanatimu wetu atawasiliana nawe.

Onyesha Nia 

"*" indicates required fields

Faragha yako

Tunaahidi kwamba hatutawahi kutoa maelezo yako kwa shirika lingine kwa madhumuni ya utangazaji. Tutahifadhi data yako binafsi kwa usalama na kutumia maelezo yako kukupatia ulichotuomba na kuwasiliana nawe kwa njia za kawaida tunazotumia. Ikiwa ungependa kupata maelezo zaidi, angalia sera yetu kamili ya faragha.

Unaweza kubadilisha jinsi tunavyowasiliana na wewe wakati wowote kwa kutuma barua pepe kwa info@tearfund.org au kwa kutuandikia kupitiaTearfund, 100 Church Road, Teddington, TW11 8QE, UK.

Fair Circularity Initiative
Muhtasari wa Faragha

Faragha na utulivu wako wa akili ni muhimu kwetu. Tumejitolea kulinda data yako. Huwa tunakusanya data kutoka kwa watu kwa madhumuni mahususi pekee na madhumuni hayo yakishatekelezwa, hatuhifadhi data hiyo. Kwa maelezo zaidi, pamoja na orodha kamili ya vidakuzi mahususi, angalia sera yetu ya faragha.